Picha ya siku

Picha ya siku

Naamini hata Magufuli akihamia Chadema kuna threads kibao zitaanzishwa kumsifia juu ya uamzi wake tena wafuasi wa chadema wanaomponda saivi ndio watakaompongeza na kumsifia sana.

Ama kweli siasa inaweza kukutia uchizi[emoji23] [emoji23]
Uzi huu ungejua jinsi ulivyomponda Magufuli walahi usingejipeleka lumumba kuchukua buku saba zako.
 
Uzi huu ungejua jinsi ulivyomponda Magufuli walahi usingejipeleka lumumba kuchukua buku saba zako.
Mambo ya ccm na chadema yanakuhusu wewe, mimi niko huru kumsema yeyote yule.
 
Hahahahahahhah alafu serious sikuwa namjua
Huyo ni mbunge wa singida kaskazini pia alikuwa waziri wa maliasili na utalii.....
LAZARO NYALANDU
Sasa amejivua uanachama wa CcM pia kajivua na ubunge tayari na inavyosemekana anataka kujiunga na Chadema.


Kuna anaetaka kwenda SHAMBA??
Twendeni Jamani bado hatujachelewa.
 
c2ec47d2a53689f79956f03e207b01ab.jpg


[HASHTAG]#PovuRuksa[/HASHTAG] [HASHTAG]#FukuaMakaburi[/HASHTAG]


Chadema ni full uzinzi kama vile Mbowe anavyozaa na Wabunge Wanawake wa chadema kwa mujibu wa J.Muro!
 
Huyo ni mbunge wa singida kaskazini pia alikuwa waziri wa maliasili na utalii.....
LAZARO NYALANDU
Sasa amejivua uanachama wa CcM pia kajivua na ubunge tayari na inavyosemekana anataka kujiunga na Chadema.


Kuna anaetaka kwenda SHAMBA??
Twendeni Jamani bado hatujachelewa.
Anhaa,sawa mkuu asante
 
Mtafukua kila aina ya makaburi ndio ameshajitoa harudi
 
Anae kupiga PICHA leo....
Mchunge sana ana jihadhari nae, kesho aweza kuwa ADUI yako...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom