duh. ukihama tu upo mpyaaaaa. yote ya kale yamezikwa
punguza kujishaua hata kidogo tuHivi huyo mzee alobeba hapo ni nani?leo nimemuona sana insta ila kote nilikomuona nimesahau kosoma caption
Nimecheka sana wallah!nimejishaua nini tena?punguza kujishaua hata kidogo tu
mi mwenyewe simjui ila anaonekana ni rais wa KenyaNimecheka sana wallah!nimejishaua nini tena?
Mi simjui kweli
Alitamani anyanyuliwe yeyeShida iko Wapi? Hivi kumpongeza kamanda aliyetekeleza wajibu wake vizuri kwa kumnyanyua iko shida? Tabia za kimama mama mziache!!! Hata ningekuwa mimi ningemnyanyua tu.
Hahahahahahhah alafu serious sikuwa namjuami mwenyewe simjui ila anaonekana ni rais wa Kenya
nimemuuliza mtu hapa amenijibu ni rais wa BurundiHahahahahahhah alafu serious sikuwa namjua
Basi sawanimemuuliza mtu hapa amenijibu ni rais wa Burundi
Zilipendwa..[emoji442] [emoji445] [emoji443] [emoji444]![]()
[HASHTAG]#PovuRuksa[/HASHTAG] [HASHTAG]#FukuaMakaburi[/HASHTAG]
Kwani ukisilim leo nguruwe uliokula jana wanahusu?duh. ukihama tu upo mpyaaaaa. yote ya kale yamezikwa
Huyo ni Donald Trump,rais wa Marekani!Hivi huyo mzee alobeba hapo ni nani?leo nimemuona sana insta ila kote nilikomuona nimesahau kusoma caption