Picha ya Siku

sammatta ameng'aa huyo ......kweli ulaya ulaya tu
 
Aiseh samatta yupo vizuri saivi,
 
Kuna takataka zingine sijui kama zitakujaga kula shavu kama la Mkwe.re!
 
View attachment 513468
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na Mbwana Samatta Brussels, Belgium. Mhe. Rais mstaafu yuko Belgium kuudhuria mkutano wa wadau wa Libya.
Hn.Dr JMK mtaafu lakini kwenye nguvu ya mwili na akili bado utabaki kuwa ni nguzo muhimu ya Dipromasia na Ustawi wa jamii hasa vijana.
Hn.Dr JMK ni mfano wa pekee kwa viongozi wastaafu katika Afrika.
Hongera Mh.Rais mtaafu kwa kutumia walau wasaa wako kumtia moyo kijana mwenzetu anayetafuta maisha huko ughaibuni.
Ni juzi tu tulikuwa pamoja kijijini Msoga ulipowafundisha vijana juu ya Elimu ya kujitegemea hasa kilimo.
Leo tena hujasita kuwafundisha vijana katika kutimiza ndoto zao kupitia michezo,hakika wewe ni mfano wa kuigwa.
 
Nimefurahia hiyo picha vema the way kadress kichwa akiwa na mkuu.Kiduku allways ni kama uhuni uhuni hivi.
Good photo indeeed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…