Filamu na sanaa kwa ujumla zingekuwa zinalipa hapa Bongo, huyu jamaa na wenzake wa rika lake wangekuwa ni mabilionea wa ukweli sio haramu. Maana ni wazee wa kitambo kweli.