Picha ya Siku

Hivi madem wa humu jF wakiona tunawasifia wenzio wanajiskiaje??
 
Wiki hii Nyota ya Ukimwi ipo juu Jf ni mwendo wa mahaba Mubashara
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna maneno jaman
Jet back ndo zangu hizi za mootooo.halafu sina haja hata ya kuzima taa hata wapiga chabo hawatuoni.
 
Leo kulikua na uzi huku wa mwanaume kumpiga mke,,hivi unaanzaje kumpiga mwanamke kama huyo,,Duuuh Jokate Mubashara kabisa shetan atakuhukumu ukimnyooshea hata kdole,,,watanzania wazur aisee.. Halaf Ally kiba nasikia kauacha huu mzigo,nae atakua kalogwa yule.. Kachaguliwa kua balozi wa Basketball Tanzania,kachaguliwa katibu wa kuhasisha vijana wa uvccm duh nyota inazidi kung'aa. Ni mzur ila mke wngu mzur zaid [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…