Picha ya siku..

Picha ya siku..

Kwa tunaotumia hivyo vitu mara kwa mara tunaelewa siri moja: si lazima samaki mkubwa ndio awe samaki mtamu. Waweza kuta hakuna mashine hapo, body tu la basi la mchina, engine hovyo
 
Kanaonekana katamu sana haka kunako sita kwa sita. Wananoga sana hawa hasa kwa long distance relationship
 
Kanaonekana katamu sana haka kunako sita kwa sita. Wananoga sana hawa hasa kwa long distance relationship
Sijui nitapata wapi email yake nikaombe kukahost mkuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom