Picha ya siku

Mwacheni mhitimu afurahie bwana, shule ina changamoto nyingi yaani hadi kufikia unavaa joho umevuka vihunzi na mitaro ya kila aina, FURAHIA MWANAKWETU WEEE
 
Huyu jamaa ni rafiki yangu sana
Amehitimu SUA MWAKA HUU PIA NI INTELLIGENT sana advance alipga kibaha boyz pale
na hizo ni swagga zake ama ana asili ya uchekeshaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…