Mwelewa JF-Expert Member Jan 5, 2011 2,343 3,283 Jun 28, 2016 #2 Picha nzuri. Wapi hapo? Inaonesha si Tz......nimeangalia plate number ya gari.
MANI Platinum Member Feb 22, 2010 7,318 6,391 Jun 28, 2016 #3 Mwelewa said: Picha nzuri. Wapi hapo? Inaonesha si Tz......nimeangalia plate number ya gari. Click to expand... South Africa naona gp ni jimbo la gauteng.
Mwelewa said: Picha nzuri. Wapi hapo? Inaonesha si Tz......nimeangalia plate number ya gari. Click to expand... South Africa naona gp ni jimbo la gauteng.
U UDSM Alumni JF-Expert Member Jan 25, 2015 2,529 1,369 Jun 28, 2016 #4 Kwa magari ya mwendokasi kama ya bongo wote ao wangekuwa marehemu.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,812 26,198 Jun 28, 2016 #5 Itakuwa mwenzao aligongwa sasa wameamua kufunga barabara ili wawekewe matuta..
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 31,233 52,546 Jun 29, 2016 #6 Hao mbona wengi sana kwa familia mmh
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 17,410 37,000 Jun 29, 2016 #7 oooh tusiweke lami mbugani wanyama watasepa. HAPO IMEKAAJE WAKUU NA WATAALAMU
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,827 Jun 29, 2016 #9 aah simbaulanga nduguye na simbachamwene wotewapenzi wa simba
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Dec 3, 2013 3,455 2,239 Jun 29, 2016 #10 Hahahahahaha tairi ipasuke ghafla.
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,141 3,834 Jun 29, 2016 #11 Jamaa wana fujo hawa, wameziba njia kwa makusudi kabisa!