Picha ni genuine kabisa hiyo, angalieni reflection ya hivyo vibao na nchi vinavyorepresent,
Angalia reflections ya chupa hizo za maji kwenye meza.
Ni picha ya kweli kabisa hiyo ndani ya G20 summit, Hamburg.
Wakati inasemekana aliulizwa kama mara tatu na trump kuwa "Russia ili interfere 2016 US election" na akakana kuwa haiku interfere...tafuteni hiyo habari.
Hizo ni ngojera za CNN - wazushi tu!!! Si maadui wa Trump wanawazulia Warusi kwamba walimsaidia Trump kushinda kiti cha Urais, hivi kwa akili za kawaida Trump ana sababu gani za msingi za kumulahumu Putin in Public!! Yaani Trump amulahumu mtu ambaye maadui wake wanadai alimsaidia kumu-piku Hillary?? Ukweli ni kwamba hakuna popote ambapo Trump alidai/shutumu Urusi kwamba aliingilia chaguzi za Urais Nchini Merikani - hakuna.
Syria ... Wameamua ceasefire kwa muda. Hapo ilbidi shangazi akae nyuma kwanza ili Erdogan na Trump waongee naye. Yeye ndiye peke yake anayemuweka Assad. Iran hayupo hapo.