englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
...kama nafananisha..!
Kurwa na Doto Hapa ni Mnazi mmoja au magogoni?
aaa-aaa jengo la Sultani wetu !! Aisee inafanana na ?!!!!!
Magogoni hapo
Ni mali ya Bwana kama sisi....mkuu bonge la msg lakini umeliambatanisha na uso wa paka...?? Dah haviendani kabsaaaa....!!
Huyo lazima atakuwa Salva RweyumamuNani karuhusu kupiga picha hii?