lovelovelove
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 270
- 270
muda utaongea mkuu kwani hata haya hatukuyajua
muda utaongea mkuu kwani hata haya hatukuyajua
tutajua tu mbeleni mkuuYule sanchoka na mama yake yupo vilevile.. halafu yule ni mwili wote hadi miguu minene...hivyo anaonekana ni mwili wa asili.
Kama ni kweli kachoma sindano au vidonge amejihalibu sana maana hayo mahips yamebana sana kuchubuka kama kote akitembea. Umbo lake la kwanza ni zuri zaidi.Baada ya watu kufukua makaburi huko Instagram
View attachment 998264
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eee niliongea mimi
{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
Mbona hii kitambo inajulikana ni Mchaina full??Baada ya watu kufukua makaburi huko Instagram
View attachment 998264
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki natoa hiyo huduma!.....karibu sana!!
Thank you, but no thank youRafiki natoa hiyo huduma!.....karibu sana!!
Wanaopenda misambwanda sasa
Hahahaha uwiii walahiKama ni kweli kachoma sindano au vidonge amejihalibu sana maana hayo mahips yamebana sana kuchubuka kama kote akitembea. Umbo lake la kwanza ni zuri zaidi.
Hivi mkuu hii picture unamaanisha au?!!!Thamani ya chura! View attachment 998436