Picha ya Obama Iliyozua Utata.

Wabongo kila kitu mnacomplicate ndio maana tunazeeka na kufa haraka. Have fun Barack!
 
Nimecheki video hiyo hata mke wake alikuwa anacheza na jamaa pembeni. Hizo ni mila zao wala sioni tatizo. Tatizo ni pale Waafrica tunapoiga hadi ushoga.
Hata mi nimechek hiyo video yake haina lolote la ajabu, zaidi Obam alikua hajui kucheza
 
Tushajizoea sisi Waafrica hasa waTanzania huwa tunawaza ujinga ujinga muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…