PICHA YA MWEZI

Hao wawili wako kwenye mazungumzo yao, nao hawana habari naye. Wapiga picha ni wazushi.
 
Urais ulimdondokea kama ule wa Sizonje what do you expect?
Kajaribu naww ukudondokee, tatizo lenu hamjui jamaa alikuwa na dream ya kuwa raisi tangu akiwa thirties! Hakuna haja ya uwe seneta au gavana au any public servant ili uonekane umejiandaa! Huyo Hillary aliejiandaa alishindwaje? Hoja dhaifu sana ndio maana haishi kumlaumu kila mtu trump alijiandaa ndio maana alishinda uraisi, he was prepared and he worked so very hard to get there!
 

..watu wengine wanaweza kufikiri na kuamini kuwa jamaa alijiandaa kushinda urais, lakin hakujiandaa kuwa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…