MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Huyu hapa.
Tunamzungumzia 'mtuhumiwa wa ugaidi' na sio 'gaidi'.Balagashia yake iko wapi?
Inawezekana kuwa gaidi bila ndevu, kanzu na kibalagashia?
Au neno "ugaidi" na "gaid"i limefanyiwa ukarabati?
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia picha
ya mtuhumiwa wa ugaidi Arusha bila mafanikio, labda kuna mlio nayo mtuwekee.
....
Tunamzungumzia 'mtuhumiwa wa ugaidi' na sio 'gaidi'.
Mkuu mbona unaleta utani kwenye mambo ya msingi habari ya zazibar unataka kuihamishia arusha acha utani mkuu.Niliona FBI walichora "mtuhumiwa wa ugaidi" akiwa na kibalagashia au haukuhitajika mchoro(kibozo) kumtambua mtuhumiwa?
Sisi wengine, tunaweweseka,tunafikiri, tunapata picha kwenye bongo zetu za watu wenye vibagalashia tu tunaposikia mambo ya ugaidi, gaidiz na watuhumiwa wa ugaidi..
Media na usanii wa "SIRI- kali" mkuu imetuchakachua bongo!
Mkuu usipende utani kwa kila kitu nadhani tuache vyombo vya kisheria vifanye kazi yake na haki lazima itendeke.Lol........Balagashia yake iko wapi?
Inawezekana kuwa gaidi bila ndevu, kanzu na kibalagashia?
Au neno "ugaidi" na "gaidi" limefanyiwa ukarabati?
!!!!!!!!!!!!???????????? ***
Mkuu usipende utani kwa kila kitu nadhani tuache vyombo vya kisheria vifanye kazi yake na haki lazima itendeke.
Mkuu mbona unaleta utani kwenye mambo ya msingi habari ya zazibar unataka kuihamishia arusha acha utani mkuu.
Awamu hii ya nne watu wengi wemepewa ajira bila ya kuwa na talent/uelewa wowote wa kazi yenyewe. Ajira imekuwa ni sehemu ya kuvuta mishahara na kupiga madili- na yote hii kwa gharama ya walalahoi.Mtuhumiwa fake amekamatwa ila bingo ya 50mil ipo pale pale!uonevu dhahiri wanamtesa tu mtoto wa watu innocent kabisa,hajui lolote,amempakia mtu kama abiria wengine,leo anapewa kosa la ulipuaji!wakubali tu intellijensia ya walipuaji imewazidi akili wao wameizoea ya maandamano!kumshikilia huyo dogo na kumpa makosa 21 yote fake imepunguza ari ya wananchi kuisaidia polisi maana wanaona si watenda haki!hata kanisa linashangaa!!
Ufanini umekamilika...Any way hii ni ngumu kweli, na hasa katika maswala haya yanayohusu uchunguzi wa kipolisi. Ndio yale mambo ya kukalia kuti kavu...kama lile la Lulu na Kanumba! Dogo ndio hivyo tena atasota ndani kweli! Na kama hawatampata mhusika ndio basi tena. Hii inaonyesha ilivyo hatari kwa vijana wanaojitafutia riziki zao kihalali wanavyokumbana na hatari na risk nyingi. Sijui vijana wetu wa boda boda, bajaji na taxi sasa watajilindaje wasijikute wanabeba wahalifu!
Yeye ndie fist lead kwa sasa maana ndie alikuwa na mhusika kabla ya tokeo kutokea regardless alijua au hakujua, alihusika au hakuhusika. Natamani tu haki itendeke kwake na kwa waliohusika. Ikiwa hakuhusika haki yake isiwe delayed, ichukue kasi ya wale jamaa wa falme za kiarabu walioachiwa huru
Akili fupi utazijua tuu..na kungekua na choo humu jf wengi mngekuwa mnaweka mzigo pembeniLol........Balagashia yake iko wapi?
Inawezekana kuwa gaidi bila ndevu, kanzu na kibalagashia?
Au neno "ugaidi" na "gaidi" limefanyiwa ukarabati?
!!!!!!!!!!!!???????????? ***