Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .
Pia angalia jicho lake LA KUSHOTO HALIKO NORMAL likakuwa kama linajifunga vile; pia upande wa kushoto wa uso wake unaelekea kama una matatizo!!Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .
Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .
Next tm 2mia neno eye lid sivyo andika kwa kiswahili sawasawa!!!ukiangalia vilevile upper lips na jicho
Nakusoma mkuu ila inawezekana ni pozi tu....Wakati anamaliza hii press conference hawakuonyesha alivyokuwa anaondoka ningetambua tu field hii nilikatisha kidogo.
mkuu, alionekana kwenye TBC baada ya press conference, kwa mtu makini anagundua upande wa kushoto, hasa mkono, hauko active...nilimwona alipokuwa anatembea, for a second or two, ni kama wa sanamu tu. Na hapo kama walijaribu ku lobby press (ambayo ofcourse, ilishindwa vibaya, maana kwa wanaojua, magazeti karibu yote front page main story headline ni ile ile...Lowasa yuko fit and blah bla...) conclude. Hawa nao sijui wataacha lini kununuliwa.
Mficha ugonjwa mauti yatamuumbua God forbid!! Lakini kama anadanganya basi njia ya muongo fupi hasa katika haya mambo ya magonjwa..Ila aache ile mipombe mikali huyu mzee inamsababishia matatizo sana.