Salama kabisa kaka, ndio imeanza tayari
Hajambo aisee yuko poa sana
Invicible mpe huyu jamaa ban ....... analeta kujuana sana wakati tunasikilizia ka mgao ka mcc! teh tehBado nafikiria kama kungekua na MTU mweusi humo ndani pamoja na huyo paka
Aisee......unguza nyumba, utapata!Nimetamani hilo kumbatoo!!!
Aisee......unguza nyumba, utapata!
Ile ya upendo wakweli
Vipi hajambo,
Mtani jembe wewe nani
Nimetamani hilo kumbatoo!!!
Nimetamani hilo kumbatoo!!!