Picha ya leo

Picha ya leo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Kwa wenzetu huko
 
Attachments

  • 1392057418313.jpg
    1392057418313.jpg
    76 KB · Views: 305
Na sisi kufika huko miaka mingine 100 baada ya uhuru.
 
Mkuu umefkiria nini?

serikali inatuangusha sana wananchi wake, sijui wanawaza nini pale tunapokuwa tunaringishiwa maendeleo na wenzetu walio serious kuyakimbilia.

serikali nyinginezo zipo serious sana ila yetu ni mambo ya kijinga.
 
Well said mkuu
 
Tutasubiri sana kwa serekali hii ya ccm imechukuwa nchi tukiwa na reli imetawala wameuwa reli
 
Back
Top Bottom