Picha ya leo

Mimi nilikuja mjini wakati Meridian Bank iko hapo, ila sijui mpaka leo Askari Monument ni mlinzi wa kitu gani hapa Dar!
 
Mimi nilikuwepo mjini wakati GREENLAND BANK ikiwa hapo!!! Idris Rashid alikuwa gavana wa benki kuu na marehemu Suleiman Kiggundu alikuwa ndio mwenyekiti wa hiyo benki iliyokuwa na makao yake makuu Kampala!!
 
Mama yangu mzazi wakati anatoka kujifungua mtoto ambaye ni mimi hapo Ocean Road alipopewa ruhusa tulizunguka hiyo round about kuelekea Home Clock Tower.
 
picha ya siku ipi!? weka tarehe, mwezi na mwaka..ili kuijua siku unayomaanisha
 
Siku naenda kufungua akaunti benki ya Posta
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…