KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Jan 30, 2014 #41 utafiti said: Atakujaribu? Mbona hao wameweza Click to expand... Hivi kuna kujaribu kifo? farkhina said: Ah wapi hapana cha kujaribu...yaani apo panatia kizunguzungu Click to expand... kwanza wazungu akili yao bure ndomaana wanaenda wewe unadhani matumbi anaenda huko kwani yeye ataanza kuchungulia ndo mnamsahau kabisa!
utafiti said: Atakujaribu? Mbona hao wameweza Click to expand... Hivi kuna kujaribu kifo? farkhina said: Ah wapi hapana cha kujaribu...yaani apo panatia kizunguzungu Click to expand... kwanza wazungu akili yao bure ndomaana wanaenda wewe unadhani matumbi anaenda huko kwani yeye ataanza kuchungulia ndo mnamsahau kabisa!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 30, 2014 Thread starter #42 KakaKiiza said: Hivi kuna kujaribu kifo? kwanza wazungu akili yao bure ndomaana wanaenda wewe unadhani matumbi anaenda huko kwani yeye ataanza kuchungulia ndo mnamsahau kabisa! Click to expand... Dawa ya kupita hapo ni kukimbia sio mwendo mdogomdogo
KakaKiiza said: Hivi kuna kujaribu kifo? kwanza wazungu akili yao bure ndomaana wanaenda wewe unadhani matumbi anaenda huko kwani yeye ataanza kuchungulia ndo mnamsahau kabisa! Click to expand... Dawa ya kupita hapo ni kukimbia sio mwendo mdogomdogo
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 30, 2014 #43 Sina ubavu!
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,373 Jan 30, 2014 #44 Picha tu imenisisimua.hata nipewe trilion sipiti hapo
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 30, 2014 Thread starter #45 shansarie said: Picha tu imenisisimua.hata nipewe trilion sipiti hapo Click to expand... Ata kidogo?
K Kifyatu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,382 Reaction score 3,226 Jan 30, 2014 #46 utafiti said: Hadi suruali inaroa jasho Click to expand... Sio jasho tu, na vinginevyo vikubwa.
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,373 Jan 31, 2014 #47 utafiti said: Ata kidogo? Click to expand... Hapana kabisa