Picha ya leo

kwani hao wanaopita wanamiguu ya shaba?? Nitaweza kupita bila hata kufanya utafiti
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu wachagiaji wote ni waoga sana wewe tu Mapi :thumbup::thumbup::thumbup:
kwanza huyo wa nyuma hadi mzigo anao mgongoni ila anapita...kwa nini isiwe mimi??
 
Last edited by a moderator:
kwanza huyo wa nyuma hadi mzigo anao mgongoni ila anapita...kwa nini isiwe mimi??

Na wapo kawaida tu wala hawaonyeshi woga wowote wakushkilia
 
kwa walevi watapita kama inaelekea bar,wazinzi kama inaenda guest house,watumishi wa mungu kama inaenda kweny nyumba ya ibada na kwa walevi wa internet kama kuna 3g mtaa huo........vinginevyo mtu hapiti huko
 
kuna maeneo Fulani huko korogwe kuko almost na hapa kwenye picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…