Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Nalog off
hapo yupo kikazi zaidi.Askari mrembo na mtoto ....
nimejitahidi kuiangalia nembo ya huyo mwanajeshi nimeshindwa kujua ni wa nchi gani.Liberia,Sierra Leon,DRC,CAR?
akikupiga loba lazima utanyoosha maelezo.mmama ana msuli
Ustaadhi wangu; Huyo ni wa PAKISTAN yupo under Umbrella of UN.... peace keeping forces..nimejitahidi kuiangalia nembo ya huyo mwanajeshi nimeshindwa kujua ni wa nchi gani.
Nalog off
![]()
Nalog off
hahahaha pole sana kiongozi ndio ukuba huoHuyu ni mke wangu jamani ndo maana huwa nawambia mwenzenu napigwa hamniamini ebu oneni sasa
pamoja sana ustadhaUstaadhi wangu; Huyo ni wa PAKISTAN yupo under Umbrella of UN.... peace keeping forces..
Shukraan