englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hii ni shule ya Alharamain.
Nalog off
hahahah wazee wa fursa.thubutu Wazee wa bakwata kazi yao kutoa matamko tuu kwenye vyombo vya habari na kutumiwa na TISS na CCM,hawana development plan au investment plan yoyote kwa manufaa ya waislam wa tanzania
haya nimekuja ngoja nipige mbizi!mimi49 njoo tuogelee....nimepapendaaa
...waombe radhi...Hii ni shule ya Alharamain.
Nalog off
Nawaomba radhi Alharamain kwa matamshi yangu niliyoyatoa dhidi yenu....waombe radhi...