Picha ya leo

Picha ya leo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
969391_560987060631959_841741273_n.jpg
 
Picha nzuri sana, Wapi hapo tukapaone????
 
mimi49, kumbe pana meza watu hapo????, sikujua hilo, nilijua ni mambo ya ki jiografia tu
 
Last edited by a moderator:
mimi49, Hata kwa mtumbwi panafikika tu
 
Last edited by a moderator:
Picha nzuri sana, Wapi hapo tukapaone????

Hilo eneo ni sehemu ya Bwawa la Monticello " Monticello Dam" na hujulikana kama Monticello Dam's Hole au Glory Hole...

Bwawa hili hupatikana huko Jimbo la California nchini Amerika na lilijengwa kati ya 1953 na 1957...

1. Picha hizi hapa chini zinaonesha kina cha maji kikiwa kimepungua....

monticello_dams_hole_05.jpg

mpr_highlights_central_solano_monticello_dam.jpg

2. Picha hizi zinaonesha maji yakiwa yamejaa na yanamwagika kwa kasi ya 1370 m³/s kuelekea shimoni...

monticello_dams_hole_07.jpg

The+Glory+Hole+of+Monticello+Dam+2.jpg

CC: mimi49 na charminglady
 
Hili bwawa limejengwa na mfumo huo kwa manufaa gani?hilo jina glory hole mhhh...
 
Hili bwawa limejengwa na mfumo huo kwa manufaa gani?hilo jina glory hole mhhh...

Hilo shimo hutumika kama drain hole ili kuepusha mafuriko pindi bwawa linapotuamisha maji zaidi ya uwezo....
Maji huingia katika shimo hilo na hutolewa upande wa chini ya bwawa baada ya huo ukuta ukinzao maji(refer kwa picha ya pili).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom