Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,212 Apr 23, 2012 #1 My Take: Kama wizara ya nishati na madini haitaamua kuwa serious na hili suala la umeme, tutafika mahali watu wataiba hizo nyaya za umeme, kwa ajili ya kutegea Kiboko, maana haziwasaidii chochote.
My Take: Kama wizara ya nishati na madini haitaamua kuwa serious na hili suala la umeme, tutafika mahali watu wataiba hizo nyaya za umeme, kwa ajili ya kutegea Kiboko, maana haziwasaidii chochote.