Picha ya Leo

Haya bomba la mafuta limepita kwenye mji wao, watu wa Total wanataka wafanya Kazi, sasa huyu ataweza kuandika barua ya maombi????
Ukibarua hauitaji kuandika barua ni ukakamavu wako tu....jioni unadondosha saini au hata kusaini atashindwa jamani!
 
Kwa hiyo tunatengeneza generation ya vibarua.
Tutengeneze mara ngapi kaka....na hapa huwezi ilaumu serikali peke yake bila kuwahusisha wazazi manake wazazi wanajua ukisha mpeleka mtoto shule basi majukumu yote kwa waalimu!....
 
Tutengeneze mara ngapi kaka....na hapa huwezi ilaumu serikali peke yake bila kuwahusisha wazazi manake wazazi wanajua ukisha mpeleka mtoto shule basi majukumu yote kwa waalimu!....
Lazima tuilaumu, sasa kama haiweki shinikizo kwa wazazi kuwapeleka watoto shule, mzazi hawezi ku bother.

Anaona mtoto mwenyewe aende shule asiende mwisho wa siku hatujua kusoma au kupata ajira, si Bora akachunge mbuzi tu au akawe kuli kwenye masoko.
 
Lakini hiyo serikali yenyewe haiwezi kumshikia fimbo mzazi wakati yenyewe imeshindwa kujenga madarasa, kununua madawati, kujenga vyoo mashuleni, kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu n.k list ni ndefu.
 
SAA 3:30
Azamtv Live
Mtu analiwa
No need of kibanda umiza
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Wakati wa mkoloni yaan kabla ya uhuru, walioenda shule walielimika kisawasawa, na wasioenda shule hawakujua kabisa. Baada ya uhuru (Utawala wa Nyerere) walioenda shule walijua kidogo na wasioenda waliendelea kutokujua.... baada ya Nyerere hakuna tofauti ya aliyeenda shule na asiyeenda!
 
hahahaaaaa
hii itakuwa masadukilo ipondya
huko kuna standard 4 leavers wanajifanya lufufu, wanajua hadi kichina.
 
Lakini ukiangalia vizuri kwa jicho la 3, tatizo hili ni la mrefu.
 
Reactions: ydn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…