mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,621
Lakini si kaandika kwa kimombo onion!Dah....liali madilidi na onion nimezipenda........
Umeona eeh, watu wanachukulia poa.Elimu elimu elimu, mzee wa majipu ana kazi kubwa sana
Hahahaha hahahaha , sasa huko ni kunyima haki yangu kama mwananchi.Mpitanjia, maeneo mengine usiwe unapita mkuu.
Mi nilijua utasema Airbus A380.Elimu elimu elimu, mzee wa majipu ana kazi kubwa sana
Sasa imagine nchi inaingia kwenye uchumi wa kati Na kundi Kubwa la watu ambao hawana basic level ya elimu.Hili janga la kitaifa
Sasa Ila sio sisi tu. Hata wazungu kuna ambao kusoma na kuandika ni shida.Na pengine amefika la saba huyo. Elimu msingi si ya kubezwa.
Not anymore now, sasa ni majipu majipu majipu. Baada ya hapo vidonda vidonda vidonda kisha makovu makovu makovu. Miaka 10 inakuwa imekwisha Na illiteracy level inakuwa double ya sasa hivi.Ndio maana kipaumbele chetu kilikuwa elimu, elimu elimu