Picha ya leo,umejiandaaje October 25??

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Fanya mazoezi ya kutosha maana sio lelemamama
 

Attachments

  • 1438940575654.jpg
    35.3 KB · Views: 1,039
mm ntaenda kupga kura na Maji....nna vidonda vya tumbo naenda na vidonge vyangu, naaidi ntalinda kura.
 
Kisa cha kuteseka hivyo kumpeleka mwanaume mwenzangu kibaruani ni kipi?
 
Mtajuana wenyewe........huu ukahaba wa siasa unaoendelea mimi siwezi...........

Baki nyumbani mkuu Preta , mwaka huu kura zinaweza kuwa hazitoshi.
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhani Ukawa waweke wazi tuu kuwa watu warekodi kwa jinsi watakavyo weza matukio yeyote ya ukiukaji wa haki za binadamu yatakayo fanywa na askari au kiongozi yeyote yule. Na waweke ahadi kuwa kila aliyefanya kitu cha aina hiyo atachukuliwa hatua na serikali ya Ukawa ikiingia madarakani kama yeye binafsi. Habari ya kisingizio cha kuwa mie niliyumwa tuu hakitasikilizwa. Polisi na wengine wote walijue hilo.
Kwa kufanya hivyo watu watajielewa kuwa kila ufanyalo ni lako hakuna kisingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…