Picha ya Leo: kutoka Bungeni!

Hivi Mwakyembe hicho kiti akikigeuza, mdomo wa huyo Mama si utakuwa kwenye eneo nyeti la Mume wa mtu?

Ukikumbuka Serukamba kasharuhusu neno F*CK bungeni...... mhhhhh!!!! Anyway, ngoja niwaachie wataalam zaidi yangu.
 
Jameenii huyu Bi.Mbunge ni MREFU na yuko imara angeliinama ingelikuwa noma kabisa!! "wengi wapo wanajituma, lakini kasoro hazikosekani" tupunguze Umbea wetu.
 
wamependeza... sikuwa natambua kuwa wamama wakinyakiyusa wanaheshima...
 
Nimeipenda hii,inaonesha heshima na utamaduni wa mwanamke wa kiafrika kwa mwanaume.
 

Mr Q
amenisoma hapo.

Yap! Nimekusoma. Wanakaribiana na wale wa kule lilipo soko la katerelo. Kule kwenye ndizi. Hivi huyo hana mwanya? Maana nasikia ni moja ya sifa yao.
 
Mwanjelwa na Mwakyembe
Hiyo ni heshima tu ya wanawake wa kibantu mbele ya wanaume.
Na kwa wanawake wa Mbeya ni jambo la kawaida sana kufanya hivyo.

Kumbe Mh. Mwanjelwa ndo huyu! Nilikuwa siijui sura yake. Sijui alishaacha hobi ya kupita na mataulo?
 
Hio ndio heshima ya wamama wa kisukuma

Mwanjelwa na Mwakyembe
Hiyo ni heshima tu ya wanawake wa kibantu mbele ya wanaume.
Na kwa wanawake wa Mbeya ni jambo la kawaida sana kufanya hivyo.

Utumwa, kweli inatoka rohoni au kujionyesha! Mume wake atamfanyia hivyo au ndio kujikomba kwa ma-Boss!

Nimeipenda hii,inaonesha heshima na utamaduni wa mwanamke wa kiafrika kwa mwanaume.

​

Malawi’s Foreign Minister Etta Banda (on her knees, right) welcomes in style, President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived in Blantyre for one day working visit yesterday. On the left is Malawi’s Minister of transport and public infrastructure.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…