Picha ya Kufungia Wiki

Jamani hii picha na maelezo ya wadau yameichwkesha sana,hawa jamaa bure kabisa,
 
Hawa jamaa wangefanikiwa tu kuingia ikulu lazima mmoja angebaki kwa kafara ili ccm ishinde 2015. Bora waligombana wao kwa wao.
 
Huyu jamaa anaonekana yupo fit sana kwenye masuala ya karate!
 
Hii picha si ya kufunga wiki itakuwa ya kufunga mwaka, maana mi nilivyo bahiri wa kucheka hapa nimecheka hadi nikaanza na kubanja. <wapinga mauaji wanataka kufanyiana mauaji>
 
Hii picha si ya kufunga wiki itakuwa ya kufunga mwaka, maana mi nilivyo bahiri wa kucheka hapa nimecheka hadi nikaanza na kubanja. <wapinga mauaji="" wanataka="" kufanyiana="">
usiangushe meno tu</wapinga>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…