swali zuri sanaKuna mtu anauliza hapa bwana mkubwa muda anaotumia kukutana na victim wa tukio ni kwanini asingekaa na wakuu wa vyombo vya usalama kujua suluhisho badala ya kuishia kukutana na hawa ndugu waathirika wa tukio na kupiga nao 'group picture?'
nilishangaa mmoja akimwambia mwenye kiti tutakuua ilihalin wamekwenda kulaani mauaji
nilishangaa mmoja akimwambia mwenye kiti tutakuua ilihalin wamekwenda kulaani mauaji
Jk angeipata fresh, mshono ungefumuka arejeshwe usa, chezea albinism weye, bahati yake wamemchokoza jamaa kabla ya timing sahihi
Na hao watekaji sasa wajipange, si mmeona wenyewe.
suti mpya kabisa
View attachment 232502
Bwana Mwenyekiti wa Chama cha Wenye ulemavu wa Ngozi (TAS), Ernest Kimaya, akionesha MAMLAKA kwa Nuru Chagutu, katika sakata la kusikitisha la kugombea kuingia Ikulu kuonana na Rais Kikwete, kubunga bongo namna ya kukomesha la mauaji ya albino nchini.

Kuna mtu anauliza hapa bwana mkubwa muda anaotumia kukutana na victim wa tukio ni kwanini asingekaa na wakuu wa vyombo vya usalama kujua suluhisho badala ya kuishia kukutana na hawa ndugu waathirika wa tukio na kupiga nao 'group picture?'
nilishangaa mmoja akimwambia mwenye kiti tutakuua ilihalin wamekwenda kulaani mauaji