Picha ya kufunga mwaka hiyo

Mimi simo. Hiyo nyingine ya tmj labda.
 
aisee pana tofauti kubwa sana hapo
 
Duu...hao wenye vikapu pembeni naona kama ni Apollo hosp
 
Wamama tunamshukuru sana Babu Duni alitupigania sana na yale maneno yamekuwa yakijirudia ktk masikio ya Pombe kama mwangwi hivi
 
Hapana naona bado NAOTA tuuuu! hili limewezekana.... na mapazia muhimbili.... mmmmh
 
Mashuka hamuoni Yana nembo ya MSD lazima itakua Hospitali ya serikali
 
Aisee hivi hakuna sheria ya kumchapa hata viboko huyu Vasco dagama?
 
Alikua rais Wawa sanii😕
 
OMG !!! mmh picha ya juu waMama wamekodoa macho !! picha ya chini wameridhia !!
 
sasa naweza kwenda kujifungua hospitali ya serikali sasa
 
angalau tunaanza kuona mwanga watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…