Picha ya Konde Boy inakosolewa sana na wadau mpaka naona kama hana shabiki baada ya kutoka Wasafi

Kwa huu mwonekano dogo alikua vizuri
Yaani kipindi naanza kuwa shabiki wao nilikua nashindwa kuwatofautisha kati ya huyu dogo na dogo domo
FB_IMG_1582825025625.jpeg
FB_IMG_1582825082802.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angebaki na muonekano wake wa zamani ingekuwa poa sasa hiv anaonekana kama mgambo aliyotokea kijijini na kingine picha zake nyingi za sasa anazopiga utazani anatumia camera ya tochi.
Nasikia Mondi anapigwa picha mia angle tofauti hadi domo lake lisipoonekana kubwa ndio wanapost
 
Inashangaza sana kuona picha nzuri ka hii inakosolewa na baadhi ya watu. Kila anaeiona anasema "Huyu kweli Mmakonde sa ndo msuko gani wa kike" wanadai kuwa hajapendeza na msuko huo.

Mim najaribu kuwauliza vipi kama Mondi akisuka hivyo watakosoa wanavyokosoa hii? Au ni chuki tu baada ya kutoka WCB?.

Wadau mnaonaje picha na muonekano huu wa Mzee Konde?
Mimi namshauri kulingana na maoni ya wadau bora abadili style ya nywele zake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kawa kama kaka jambazi
 
mpuuz tu japo ni uamuz wake ila ananiudh utasukaje nywele kama dem anayeombwa?? Sio nywele tu adi na mahereni kama gasho alaf linajionq lipo sawa au mwenzetu Chuya nn???

Back
Top Bottom