Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,141 3,834 Jul 7, 2016 #2 Ujasili upi sasa mkuu, au wa kuvusha ng'ombe mtoni!?
M msikivu66 JF-Expert Member May 17, 2015 254 125 Jul 7, 2016 #4 Hao Ni nyati wa barahindi wanafugika
harakat JF-Expert Member Jul 4, 2011 2,887 1,350 Jul 7, 2016 #5 Wanaitwa nyatimaji hata kwenye ranchi zetu wapo wanafugwa na kukamuliwa. Kuna nyati kichaa wale AKA mbogo. ..
Wanaitwa nyatimaji hata kwenye ranchi zetu wapo wanafugwa na kukamuliwa. Kuna nyati kichaa wale AKA mbogo. ..
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,896 36,213 Jul 7, 2016 #7 Angefanya hivyo kwa koboko...au kwa chui ndio angekuwa mjasiri hasa....
S sony2 JF-Expert Member Feb 6, 2015 2,059 2,314 Jul 7, 2016 #8 Hawa in mbogo wa India wapole saaana hawana madhara
N nabali JF-Expert Member Mar 23, 2015 405 528 Jul 7, 2016 #9 Jomasi said: Click to expand... Bila shaka wewe ni miongon mwa wanaume wa Dar! Sijaona ujasir wowote hapo
Jomasi said: Click to expand... Bila shaka wewe ni miongon mwa wanaume wa Dar! Sijaona ujasir wowote hapo
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,827 Jul 7, 2016 #10 haa mym said: Bangi hizi Click to expand... Sasa bangi apo inausika vp mkuu?au ndio uonekane tu na wewe umecoment.
haa mym said: Bangi hizi Click to expand... Sasa bangi apo inausika vp mkuu?au ndio uonekane tu na wewe umecoment.
torvic JF-Expert Member Mar 9, 2016 3,806 9,303 Jul 7, 2016 #12 sijaona ujasiri wowote... au alimaanisha picha ya kijasiliamali!
vollies JF-Expert Member May 31, 2015 748 446 Jul 7, 2016 #13 Watu Bwana waajabu ujasili gani hapo labda kutembea uchi
GREGO JF-Expert Member Apr 3, 2014 4,279 2,913 Jul 7, 2016 #14 WAHEED SUDAY said: Ujasili upi sasa mkuu, au wa kuvusha ng'ombe mtoni!? Click to expand... Ujasiri