PICHA YA KIBABE

Aliyefanya pichaduka a.k.a photoshop amemficha mzee wangu aliye upande wa kushoto mwa Gaddafi.
 
Mbona kama Robert Nesta Marley hakuwepo kwenye eneo hilo??Picha zinaonesha sehem tofautitofauti.
 
Umri wa Mandela, mbona kama upo sawa na wa Tyson!!!!!, ina maana walikuwa umri sawa wakati huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…