Picha ya JK mitaani:Wazee wa protokali mpoo?

Majoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
612
Reaction score
189
Miaka ya nyuma ilikuwa picha za viongozi kwne fremu ukutani ukiingia ofisi za wafanya biashara aina fulani.
Lae nimeona kali, ya JK kuwekwa ukutani,tena ukuta wa nje.
Hicho ni kitaa cha Mbozi rodi,Chang'ombe

Wazee waJF protokali mwasemaje juu ya hili.
 
Ulimwengu umebadilika. Picha kama hiyo ni ya kawaida kuwekwa hapo. Picha za Obama pia huwekwa kwenye mabango barabarani.
 
Ikiwekwa ndani itaionekaje???? Inabidi hapo hapo nje watu waone kama na mie (mfanyabiashara) nilishawahi kukaa na rais kiti kimoja.
 
Jee huyu ndiye yule mwarabu wa Suti?
 
Jee huyu ndiye yule mwarabu wa Suti?

hapo usikute anamuuliza hivi size ya kiuno chako ngapi maana nakuonaga unapandisha pandisha suruwali au zinakulegea mdogo wangu ..nataka nkuletee suti 5 zinazokufiti ..ushanifahamu jakaya
 
]Ulimwengu umebadilika. Picha kama hiyo ni ya kawaida kuwekwa hapo. Picha za Obama pia huwekwa kwenye mabango barabarani. na sasa tutaanza kuweka ya Gadafii nafikiri itakuwa poa zaidi maana Watanzania tulimpenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…