bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
Tunduma mbali hvo wamefikaje baada ya saa moja??VW Toureg ,hakufunga Car track ,inaweza ikawa iko boda Tunduma inaitafuta Zambia kama mchwa wa gerezani hawaja ichinja
Tunduma mbali hvo wamefikaje baada ya saa moja??VW Toureg ,hakufunga Car track ,inaweza ikawa iko boda Tunduma inaitafuta Zambia kama mchwa wa gerezani hawaja ichinja
It's better ukatumia kilugha.hiv jamani watu wanaibaje magari..wajuzi mtueleze...au jamaa hakuilock gari vizuri...mdau pia utuambie what didnt happened...
HILOLAKO HATA UACHE WAZI AWAIBI SPARE TYRE WALA USIUMIZE KICHWA MPWA WANGU AKUNA CHA KUSHARE LABDA JITAHIDI ULIZIME TU USIACHE FUNGUO ONGari imelockiwa hao wezi wameibaje? share xperience maana huwa tunaacha magari hapo tukienda s/market.
Sema ujaelewa NA wewee jiongeze kidogo kiswahili shida maths ulipata ngapi naongelea basics mathsIt's better ukatumia kilugha.
Kiingereza mpaka ulewe.
Hahaaa akukuta condom zimelowaa wajinga Wale achaatuAseme vizuri na Polisi huwa zinapatikana,nakumbuka jamaa yangu alisema nao vizuri gari ilitelekezwa kwenye hoteli moja maarufu Arusha.
Haaa Diddy bwana ni shida,utasema hawaibi wakati taa moja tu ya mbele inauzwa laki 5,bumper la mbele laki 8?HILOLAKO HATA UACHE WAZI AWAIBI SPARE TYRE WALA USIUMIZE KUCHWA MPWA WANGU AKUNA CHA KUSHARE LABDA JITAHIDI ULIZIME TU USIACHE FUNGUO ON
Sio kila kinaacho andikwa hapa ni sahihi wengine tumeleta majungu tuTunduma mbali hvo wamefikaje baada ya saa moja??
Nijiongeze kivipi? Hivi nilivyo inatosha.Sema ujaelewa NA wewee jiongeze kidogo kiswahili shida maths ulipata ngapi naongelea basics maths
Poa.Sio kila kinaacho andikwa hapa ni sahihi wengine tumeleta majungu tu
Robot naweeeew humjui didy ndie nyerere wajf nikionakimyanawafurahishawalausichukulieseriousmpwanaombaradhikwaniabaNijiongeze kivipi? Hivi nilivyo inatosha.
Basics? Unachekesha
Turudi kwenye mada: hapo ulipo hilo gari halijapita?Robot naweeeew humjui didy ndie nyerere wajf nikionakimyanawafurahishawalausichukulieseriousmpwanaombaradhikwaniaba
Pole sana ndugu,huo uchungu mi naujua kwani walishanitenda nyumbani kwangu bahati nzuri Malaika wa Mungu walinizindua kutoka usingizini nikawakurupusha ila walishavua power windows,redio,site mirrors,head lamps zote,front bumper,na kwenye engine kuna vitu walishaanza kufungua,nadhani aim yao ilikuwa ni kuiba gari, bahati nzuri sterling ili ji lock wakaamua kulipukutisha.Asee pole sn. Labda km una undugu na mapolis unaweza kuwa japo na asilimia chache za matumaini kuipata gar yako. Nliibiwa gar mwaka 2006 nlifikiri ntaipata...mpaka kesho imebaki history. Asee kukuta gar yako haipo ulipo park....!!! Sitaki kukumbuka
HAHAAAA MKUU HAO AWAKUJAKUIBA GARI WAKIIBA GARI KWANINI WAANGAIKE KUUFUNGUA VYOTE JITAHIDIN MUAMKE SAA SABA AMA NANE MSALI SIOMPAKA MTESTIWE UKIWAKOSA WAGARI UTAKUTANA NA WA KUCHANA NYAVU WANATAKA LAPTOPPole sana ndugu,huo uchungu mi naujua kwani walishanitenda nyumbani kwangu bahati nzuri Malaika wa Mungu walinizindua kutoka usingizini nikawakurupusha ila walishavua power windows,redio,site mirrors,head lamps zote,front bumper,na kwenye engine kuna vitu walishaanza kufungua,nadhani aim yao ilikuwa ni kuiba gari, bahati nzuri sterling ili ji lock wakaamua kulipukutisha.
Polisi sio kabisa Pdidy wanazingua sn.Nilionakamahili nkakimbilia nkakuta ACG ....ila mkuu issue ya pale osterbay msidharauu kubalini witooo nahisi umenielewaa...MUNGU akawafanikishe mkuu