Picha:Wazungu eti wanadai mademu wetu wakiafrika hawana mvuto ebu angalia wao

we have different attitude mind set, energy , origins ,,,,thats why they said white will be whites and black will be black we have our own way they do not understand
 
Nyinyi mnaosema sijui wazungu ndo wamesema huyo ana mvuto hamna akili kabisa. Wapo wazungu wanapenda waafrika na wapo waafrika wanapenda wazungu. Hyo kwamba mzungu sijui anapenda kimbau mbau ni ujinga mnaeneza vita ya racism tu. Hayo mambo ni ya zamani na yamepitwa na wakati. Wapo wazungu wanama shape na wapo waafrika vimbau mbau. Acheni kuendekeza vitu mnavyoona kwenye media. Acha kabisa ni upumbavu
 
Jamani acheni kufananisha wazungu na vitu vya kijinga
Umeongea point braza, sio wazungu wote wembamba in fact hawa wanaangalia hizi media. Angalieni kina Ronaldo madem zao ni wazungu. Mbona waafrika wapo wembamba kina lupita nyongo Ila hatuwaongelei. Binadamu ni binadamu huwezi define by their race
 
 
Wazungu vibamia vyao matipwatipwa wanaishia kuyaangalia tu.
 
Na wale wanene walio kwenye ndoa wameingiaje sasa?
Hivyo vimbau mbau ndo vizuri Mkuu!
Na ndo wanaoolewa hao..... Tembo hawafugwi wanaangaliwa tu huko huko mbugani
Ndio maana dada zetu kila uchwao wanahangaika na diet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…