Picha: Watu watatu wauawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za wizi wa pikipiki wilayani Kahama

Tanzania ni taifa lenye laana, tunaishi ndani ya laana.
Waulize wakazi wa majohe,chanika,buyuni wakuambie shughuli ya wezi wa pikipiki,pikipi ya Tsh 2 mil inaibiwa na AK-47 na ukileta ubishi ndio unaenda kumsalimia sir god,hao jamaa sio wa kucheka nao hata siku moja.
 
Wameiga kazi wanazofanya DCs na RCs....kujichukulia sheria mkononi. Kudos kwa wananchi wa Kahama
 
Hao wanaopinga kitendo hiko ndo hao hao wanaosapoti wizi.. Hamjawahi kuibiwa nyinyi
 
Back
Top Bottom