Picha: Wasanii 41 wajiunga na chadema arusha

Zamani usanii ulikuwa burudani na sio biashara.Siku hizi usanii ni deal kama deal zingine.Kama CCM imekamata akina Diamond, kwa nini hawa nao wasikamate CHADEMA isiyokuwa na mvuto mkubwa wa wasanii ili wapate tender?

Mimi naona yote poa tu, group nzima kukubaliana lazima watakuwa na common goal nayo ni kupiga kazi katika kampeni za CDM pamoja na kutoa tungo mbali mbali kama ''chadema x2'' ''peoples power''!''Tanzania x2'' ''peoples power''.
 
wacheza ngoma 41 wajiunga na chadema ungesema hivyo tungekuelewa vizuri.
 
Karibuni ila huku nyie ndo mtakuwa wafadhili wakuu wa chama.huku hakuna posho wala usafiri
 

Wewe vipi avator yangu?
 
Bora hata ungesema, wanaarusha 41 wamejiunga chadema kuli kutumia neno wasanii, siku hizi hata wacheza ngoma za kienyeji wamekua wasanii? Naona siku hizi topic zinakuja humuna na title kubwa,ukiingia ndani unakuta ni uharo tu.

Hili lilikuwa ni kundi maarufu ambalo ccm walikuwa wanalitumia kwenye kampeni zao! Kwahiyo kuhama kwao ni big disapointment kwa ccm!
 
Hili lilikuwa ni kundi maarufu ambalo ccm walikuwa wanalitumia kwenye kampeni zao! Kwahiyo kuhama kwao ni big disapointment kwa ccm!
Wacheza ngoma za asili mbona wako wengi tu? wote wanaendekeza njaa na ndio maana wanatumika kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…