PICHA: Wananchi Bunda wakusanyika nyumbani kwa Bulaya wakipinga kusimamishwa

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
Wananchi wa Bunda wamekusanyika nyumbani kwa mbunge wa Bunda Mjini Esther Bulaya wakipinga hatua ya Bunge kumsimamisha Mbunge huyo..

bunda.jpg
 
CCM waangalie sana,wanaendelea kurudia kufanya mambo ambayo yanawakera wananchi,mwisho wa siku hii ni kujichimbia kaburi.wanatakiwa kuangalia hili waache kiburi,wananchi wamejanjaruka si wale wa enzi za Nyerere.wamebana bunge lakini wananchi wanapata kila kitu kinachoendelea.Tuache muda uamue..
 
Je kawaambia alikuwa anadai bunge live? Awaambie pia posho hana na mshahara pia atakatwa. Chezea Magufuli wewe
 
Uchonganishi Dr Tulia kafanyaje waseme Bunge ndo limeamua so Dr Tulia Mwenye maamuzi in Bunge nayeye akiwapo.mini maana ya kuamua kwa bunge kwa kura mbona hatayule hajaenda shule ya kusimamia vikao chini Kabisa anajua.mfano maamuzi ya kijiji hufanywa na wanakijiji so Mwenyekiti.so mwamuzi yeye huongoza watu wafanye maamuzi ya wote..na kusimamia utaratibu wa vikao..
 
wanatakiwa wachague wabunge mabubu..
wakula ugali mkubwa na kugonga tu meza bungeni..
na kucheka full stop.
 
Uchonganishi Dr Tulia kafanyaje waseme Binge ndo limeamua so Dr Tulia Mwenyemaamuzi in Binge nayeye akiwapo.mini maana ya kuamua kwa binge kwa kura mbona hatayule hajaenda shule ya kusimamia vikao chini Kabisa anajua.mfano maamuzi ya kijiji hufanywa na wanakijiji so Mwenyekiti.so mwamuzi yeye huongoza watu wafanye maamuzi ya wote..na kusimamia utaratibu wa vikao..
sawa binge ila punguza mapepe Binge umesikia binge?
 
Ukweli nikwamba wanachama wa ukawa tulio wengi tumeghadhabishwa na maamizi ya bunge juu ya wabunge wetu wapendwa
 
Back
Top Bottom