PICHA: uwezo wa Jeshi la MAREKANI!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
[TABLE="width: 997"]
<tbody>[TR]
[TD="class: l pd w, bgcolor: #F6F6EC, align: left"]


America can strike from Land, Air, Sea, Space on any continent




































[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: bold l pu, bgcolor: #E8ECE0, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: l pd w, bgcolor: #F6F6EC, align: left"]








[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
kwani unataka tulinganishe na vile vyetu tulivyo viona kwenye sherehe za Muungano?!
 
Sasa marekani unadhani wameendelea jana kama sisi ambao hata mpango mkakati wa kuendelea bado?
 
tafuta pia vya Russia,China na Israel hao wanatutisha waafrika tu!
 
i hope unajua unachoongea, maana kama ni uhcokozi USA is the global leader kwenye hilo

anyway, tushabikie vya wenzetu, maana yetu yametushinda


Yenu ni lazima yawashinde kwani viongozi wenu wameweka maslahi yao mbele kuliko uzalendo!! Unafikiri Shimbo kupelekwa kuwa balozi China ilikuwa bahati mbaya au mpango kabambe wa kwenda kukaba 10% ya manunuzi ya hivyo vifaa vya kivita!!!


 
Kwa hali hii vile JK alivyotuonesha ni vyuma chakavu na tukitaka tununue km hivi tutakula nyasi miaka 100
 
Wana roho mbaya sana, hata hizo location ya military base zao zinaonesha.
 
Hata Tanzania inazo ndege, vifaru, na zana zingine za kivita. Tulionyeshwa siku ya muungano. Tena tuliona chopa zikisindikiza ndege ya Raisi. Hata boti ya kivita tunayo, waliipitisha uwanjani. Pia makomandoo tunao na wanauwezo wa kuvunja matofali ya kuchoma kwa mikono na kichwa!
 
Kwa lile parade tulilofanya juzi na kuvunja yale matofali kwa kuyaangalia kwa macho, no doubt we can match them. Kwanza ndege zetu zina sura nzuri kuliko za kwao wasitubabaishe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…