Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
- Thread starter
-
- #141
Hizo bombadia mpya zinazokuja zinatua hadi Kariakoo, posta Na ferry. Halafu unaambiwa zitakuwa hazina rubani kwa kizungu droni.Uzuri ni kwamba Bombadier zinatua hata msituni .
Dah ..kunyumba huko!! Hatuna namna tutapanda tu hizi hizi superfeo.. ndio usafiri wetu bwana
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Yule mganga anayemsema Super Feo Na Siri zake kwenye sms ni ndugu yenu?Dah ..kunyumba huko!! Hatuna namna tutapanda tu hizi hizi superfeo.. ndio usafiri wetu bwana
Mkuu huyo mimi si mfahamu labda huyu Wenye bibi zetu tunatiamo grisi tuuYule mganga anayemsema Super Feo Na Siri zake kwenye sms ni ndugu yenu?
Lakini si mna timu ya mpira inaitwa Majimaji??Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Kwa hiyo ndege zitue juu ya timu?Lakini si mna timu ya mpira inaitwa Majimaji??
Si mmeichagua wenyewe???Kwa hiyo ndege zitue juu ya timu?
wasalimie mgazin,sinai,Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Kesho naenda kupanda miaharage eyapoti. Pako tifutifuSi mmeichagua wenyewe???
Isomeni namba sasa...
Sijui kwanini mkoa wetu kimaendeleo unaachwa sana miaka nenda rudi tuko nyuma kimaendeleo japo tunachangia pato kubwa la taifa
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Panda mihogo... ndo inavumilia rabsha...Kesho naenda kupanda miaharage eyapoti. Pako tifutifu
Wazo zuri sanaPanda mihogo... ndo inavumilia rabsha...
Okay