MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
mfuasi wa boko haramu akilia mara baada ya kukamatwa
hapo juu jamaa akionyesha sura ya huruma chini ya ulinzi.
Huyu ni mfuasi boko haram aliposhtukiwa sokoni baada ya kuvaa nguo za kike, lkn wazalendo walimshtukia na kumpa kichapo cha kutosha.
Nadhani hapa jamaa anajutia uamuzi wake.
HAPA CHINI NI vijana wa JESHI LA NIGERIA KATIKA PICHA MBALI MBALI