Picha: Ulimboka na JK

HAPA Ahmed Msangi amejificha wapi??
Huyu wa tatu kutoka kushoto (baada ya Dr. Uli) mbona kama yeye kafurahia kuja ikulu tu?? Yaani anaonyesha kasahau matatizo ya wagonjwa kabisa!!!! Kha!!! nashindwa kuelewa nimuamini nani!!!!!!!!!!!!
 
ikulu ni mahala patakatifu si pango la wanyang'anyi..? Wakaona wakamalizie biashara mabwepande kikauzu zaidi ya dagaa.. Wakamung'oa meno bwna mdogo ulmboka.. Na kucha bila ganzi alafu isitoshe wakamvunja na mikono steve..! Ama kweli unyama hufanywa na wanyama..
 
ila mungu yupo atawanyoosha na kuwatia adabu wale wote waliojihusisha.. Kumtesa bwana mdogo ulimboka..
 
huyo jamaa wa kwanza ukimwagalia uson ni mnafiki kabisaaaaaaaaaa, ila hata hao wengine hawaonekani kama wako kikazi, kama wanatania tu juu ya madi yao
 

madaktari wanaharakati hao.....seriousness ipo kweli hapo? cjajua kigezo kilichotumika kuchagua viongozi hawa yani hamna hata kiongozi mmoja wa madr. ambaye anaonyesha yuko above 50yrs hapo.....hii ni hatari.......Najua namba kubwa tu ya madaktari wenye uzoefu na kazi zao kwa ujumla wenye experience ya zaidi ya miaka 15 kazini....vp inamaana kwny hiyo oganaizesheni a.k.a uongozi wa chama cha madaktari hawakwalifai? I SMELL SOMTHING FISHY HERE.
 

Jamani, mbona tunaambiwa Dr. Deo alip[oona mwenzie kachukuliwa aliaanza kuipiga simu ya Dr. Ulimboka bila mafanikio na ndipo akaenda Police Central ambako pia hakupata msaada wowote hadi alipopigiwa simu kuwa Dr. Ilimboka kaokotwa taaban ndipo akaanza kuwapigia wanaharakati. Au haikuwa hivyo?
 
Dah!!!! Wakina Msangi walivyomkarabati uso!!! huwezi amini kumbe ni kijana mzuri tu kwa sura.Dr. Ulimboka Mwakingwe Ghwa Kukajha

Is it? Dr. Stephen Ulimboka au, Ulimboka Mwakingwe? inakuwakuwaje, malafyale, have a self assessment.
 
Ti ta ti ta ti ta ti ta ti at ti ta ti ta ti ta ti ta!........
 
hapo bro anawaza amuulize tom cruise how mission impossible can become possible
 

Nakushukuru kwa taarifa
 
karibuni sana vijana,nashukuru kwa changamoto mnazotoa kwa serikali,lkn cku mtakapoanza kutolewa kucha na meno bila ganzi nisisikie yoweee,next tym mkija naamini tutakuwa tumefikia muafaka huku mkiwa na mapengo:israel::israel:
 
he is so handsome! (ofkoz dr uli, not kikwete aaarrrggghhhh!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…