Huyu ndiye Tundu Lisu akiwa bado kijana mdogo kabisa.
Huyu ndiye rais mtarajiwa. Atachaguliwa kwa kura nyingi sana 28/10/2020.
Kwaheri ubaguzi.
Kwaheri dhuluma.
Kwaheri mauaji.
Kwaheri ufilisi na uporaji wa Wafanyabiashara.
Kwaheri ubabe na kuminywa kwa Uhuru.
Karibu Uhuru, Haki na Maendeleo.