Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,300
Una uhakika na usemalo? Naona unataka kupotosha umma..soon nakuja na evidence
....
hiyo ni Miombo woodland ....Tanzania tunatisha .... hapo cha mtoto Tarangire balaa !!!
bado hawajafika miombo wale watu???....they are coming soon..
Kinana yupo huko MIOMBO WOODLAND .... just in case
Tuna nchi yenye rasilimali nyingi sana lakini kwa bahati mbaya tunachezeshwa kidali poo
Mungu atupe nini?
Tuna vitu vingi sana vya kujivunia hapa nchini tatizo wajali tumbo wachache ndio wanaotuharibia mwelekeo
Tuombe hivyo ila kwa kusema ukweli itachukua muda sanaMungu atupe viongozi wenye uchungu wa kweli juu ya Maendeleo ya nchi yetu.