Picha: Sekretarieti mpya ya ccm

Kwa aliyekanyaga mchokoo;atapona kwa dawa gani ?
 
Nakubaliana kabisa na mawazo yako.
 
Hii safu ina kazi nzito sana kuudisha imani ya vijana wasio na hope yeyote ,wajipange kutengeneza sera za kuwakomboa vijana kimapato hasa kwenye vikundi vyao maana kwa sasa ajira nyepesi kwa vijana wa taifa hili ni bodaboda!ni hatari sana nchi ikiwa inaendeshwa na waendesha boda boda na wakaa kijiweni!maana ndio wengi sana
 
Then what?Ukristo unasaidia nini?achi kufikiri kidinidini. Mbona ukienda hospitalini mbona huulizi utibiwe na DAKTARI WA DINI YAKO? Nawachukia watu wanaofikiri kidinidini.
Kesho wewe utakuwa wa kwanza kusema CDM chama cha kanisa!
 

mpaka wafe ndo watabadilishwa
kikao kipya/UCHAGUZI MPYA watu walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…