Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

Ukawa ndo habari ya mjini so ukibishana na mtu asiyekua na uelewa na wewe utaonekana huna uelewa so yetu macho
 
bei ya karafuu inatokana na bei iliyoko kwenye soko la dunia . Cuf hawahusiki kwa chochote

Ni kweli hawakuhusika na chochote!!!! Wewe unafikiri karafuu ni sawasawa na korosho!!?? Kabla ya uchaguzi Wa 2000 korosho ilifika Mia 9 kwa kilo moja, baada ya uchaguzi ikashuka hadi 200 kwa kilo moja.

Kwa upande wa karafuu hicho kitu hakijawahi kutokezea na ndio maana kabla ya CUF haijangia katika uongozi, wazanzibar walikuwa wanazipeleka Kenya kwa magendo kukwepa bei kandamizi ya serikali ya CCM.
 
Vibaraka utawajua hata kwa maandishi yao, taifa linaangamia kwa rushwa,wizi, na ufisadi wewe unachekelea
 
Hivi Lipumba kwa nini haachi siasa.. Lipumba ndio mwanasiasa wa kwanza Duniani anaeongoza kwa kushindwa kwenye uchaguzi.. Elimu yake haijamsaidia kabisa
Elimu yake ni ya uchumi.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Jee aliwahi kujiuzulu baada ya ushauri wake kukataliwa??? usiwe mshabiki wa majitaka wewe....muulize ALIKWINA....
Sasa wewe unaongea UTUMBO wenye kunuka, Mimi nilifikiria Professor Lipumba alikuwa Rais wa Tanzania kumbe alikuwa mshauri wa Rais katika mambo ya uchumi!!???

Sasa kama Kazi ya Lipumba ilikuwa ni kumshauri rais Mwinyi jee unajua maana ya ushauri!? Kawaida ya ushauri unaweza kukubaliwa au kukataliwa!!! Na historia inatuonyesha serikali ya CCM haijawahi kukubali ushauri wowote ambao utakuwa na manufaa na Tanzania na wa Tanzania kwa ujumla.

Rudi nyuma mapendekezo ya majaji kisanga, nyalali na ya hivi karibuni ya warioba! Kwa ufupi kila ambaye ni CCM ana roho mbaya kuliko fisi hasa linapokuja suala litakalo leta manufaa kwa wananchi.
 
Jee aliwahi kujiuzulu baada ya ushauri wake kukataliwa??? usiwe mshabiki wa majitaka wewe....muulize ALIKWINA....

Tafadhali ufafanuzi kwa Zakia alipiga kura upande wa Zanzibar, je alipiga kura hiyo kama nani?
KAMATI NAMBA 04 Ukumbi No. 135 (Hazina)
NA JINA JINSIA AINA YA UJUMBE BARA/ZANZIBAR CHAMA /TAASISI
Dr. Harrison George Mwakyembe ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Goodluck Joseph Ole-medeye ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Christopher Olonyokie Ole- Sendeka ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Prof. Kulikoyela K. Kahigi ME Bunge la Tanzania BARA CHADEMA
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ME Bunge la Tanzania BARA CHADEMA
Mohamed Hamisi Misanga ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Ally Omar Juma ME KUTEULIWA ZNZ SIASA
Riziki Omar Juma KE Bunge la Tanzania ZNZ CUF
Gosbert Begumisa Blandes ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Happines Samson SENGI KE KUTEULIWA BARA AZISE
Salama Aboud Talib KE KUTEULIWA ZNZ AZISE
Salum Seleman Ally ME KUTEULIWA BARA UMD
Christopher Mtikila ME KUTEULIWA BARA DP
Costantine Benjamin Akitanda ME KUTEULIWA BARA CCK
Makame Omar Makame ME KUTEULIWA ZNZ ELIMU
Bure Zaharan KE KUTEULIWA BARA WALEMAVU
Honoratha Chitanda KE KUTEULIWA BARA WAFANYAKAZI
Mwatoum Khamis Othman KE KUTEULIWA ZNZ WAFANYAKAZI
Mashavu Yahya ME KUTEULIWA ZNZ WAFUGAJI
Shaban Suleman Muyombo ME KUTEULIWA BARA WAKULIMA
Saleh Moh’d Saleh ME KUTEULIWA ZNZ WAKULIMA
Kajubi Diocres Mukajangwa ME KUTEULIWA BARA MALENGO YANAYOFANANA
Amina Abdulkadir Ali KE KUTEULIWA ZNZ MALENGO YANAYOFANANA
Dr. Sira Ubwa Mamboya KE BLW ZNZ CCM
Machano Othman Said ME BLW ZNZ CCM
Mohamedraza Hassanali Mohamedali ME BLW ZNZ CCM
Haroun Ali Suleiman ME BLW ZNZ CCM
Shawana Bukheti Hassan KE BLW ZNZ CCM
Saleh Nassor Juma ME BLW ZNZ CUF


Dr. Terezya P. Luoga Huviza KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Fakharia Khamis Shomar KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Kombo Khamis Kombo ME Bunge la Tanzania ZNZ CUF
Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Eng. Ramo Matala Makani ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Salome Daudi Mwambu KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Zakia Hamdani Meghji KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Mendrad Lutengano Kigola ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Mch. Dkt. Getrude Pangalile Rwakatare KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Khalfan Hilaly Aeshi ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Rosemary Kasimbi Kirigini KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Mbaruku Salim Ali ME Bunge la Tanzania ZNZ CUF
Peter Joseph Serukamba ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Riziki Said Lulida KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Meshack Jeremia Opulukwa ME Bunge la Tanzania BARA CHADEMA
Josephat Sinkamba Kandege ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Mariam Salum Msabaha KE Bunge la Tanzania ZNZ CHADEMA
Mhonga Said Ruhwanya ME Bunge la Tanzania BARA CHADEMA
Dkt. Festus Bulugu Limbu ME Bunge la Tanzania BARA CCM
Khalifa Suleiman Khalifa ME Bunge la Tanzania ZNZ CUF
Eugen Elishininga Mwaiposa KE Bunge la Tanzania BARA CCM
Tedy Malulu KE KUTEULIWA BARA WAVUVI
 
Back
Top Bottom