Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

kigu

Senior Member
Joined
May 27, 2012
Posts
183
Reaction score
74
Prof Ibrahim Lipumba ATANGAZA "OPERATIONI DELETE CCM 2015"

TUTASIMAMISHA MGOMBE MOJA WA UDIWANI, UBUNGE NA URAIS-

Prof Ibrahim Lipumba amese UKAWA wanaendele na majadiliano na tayari kunamafanikio makubwa ili kusimamisha mgombea moja kwa kila ngani kuanzia udiwani, ubunge na urais 2015.

"CCM wanauchukia umoja huu wanaomba usambalatike lkn nawahakikishia safari hii tuko NGANGARI kwel kwel wacha wajisumbue sisi tuanaendele kuimalisha umoja huu ili kulikomboa Taifa."

" Kama hapa TANDAHIMBA Cuf inaonekana inanguvu vyama vyote vitaiunga mkono Cuf na kufanya kampeni kwa pamoja ili kupata mbunge na Halmashauri yote. hivyo hivyo Arusha kama Chadema kinanguvu pale vyama vyote vitaunga mkono"

Prof Lipumba ametangaza ujio wa "OPERATION DELETE CCM 2015 "itakayo ongozwa na yeye mwenyewe pamoja Freeman Mbowe na James Mbatia.

Nimechoka kujibu maswali ninapokwenda kulekebisha chumi za mataifa ya wenzetu, Wananiuliza mbona nchi yako ni masikini sana wkt utaalamu wako sisi tunanufaika nao? Wanashindwa kujua watawala wa Tanzania wana ROHO mbaya hawataki kuwatumia wataalam wa ndani kuondoa umasikini japo wao hawana ujuzi huo.

NJIA PEKEE YA KUJIKOMBOA NI KUDELETE CCM 2015 KWA KUCHAGUA VYAMA VYA UMOJA WA KATIBA

Picha hapo chini ni mkutano wa leo wa Prof Ibrahim Lipumba viwanja vya mashujaa mtwara Mjini, viwanja havikutosha leo.

"Kama watanzania mnahitaji kuondokana na umasikini ni kuikataa, kuichukia na kuiDELETE kabisa 2015 umoja wetu umejipanga kuwaletea maendeleo ya kweli"

Ikiwa unachukia WIZI, UFISADI DHURUMA huwezi kuichagua tena CCM utajipanga kuchagua HAKI sawa kwa wote na Demokrasia na maendeleo na utu ndio wakombozi sahihi kwa sasa.
attachment.php

‪#‎UKAWA

‪#‎UKAWA
 
Attachments

  • 1413398775704.jpg
    1413398775704.jpg
    51.8 KB · Views: 3,334
Nia tunayo na mipango tunayo...

Jukumu lako ni.kuunga mkono tu.
 
Hivi Lipumba kwa nini haachi siasa.. Lipumba ndio mwanasiasa wa kwanza Duniani anaeongoza kwa kushindwa kwenye uchaguzi.. Elimu yake haijamsaidia kabisa
 
Lipumba. Slaa, Mbowe, Mbatia wameshindwa kwenye ngazi za kuongoza familia halafu wanataka kuongoza nchi..
 
Hivi Lipumba kwa nini haachi siasa.. Lipumba ndio mwanasiasa wa kwanza Duniani anaeongoza kwa kushindwa kwenye uchaguzi.. Elimu yake haijamsaidia kabisa

CCM na wachumia tumbo wao wanauchukia UKAWA
 
Hivi Lipumba kwa nini haachi siasa.. Lipumba ndio mwanasiasa wa kwanza Duniani anaeongoza kwa kushindwa kwenye uchaguzi.. Elimu yake haijamsaidia kabisa

Wewe division 5 yako inakusaidia nini maishani mwako zaidi ya kulopoka tu?
 
Hapo ndio mwisho wa hicho kikundi cha kihuni "ukawa" chenye watu waliokutana pamoja lakini wana iterest na sera tofauti. Nani atakubali asigombee uraisi? watavurugana na kutukanana na ndio mwisho wao
 
Hivi Lipumba kwa nini haachi siasa.. Lipumba ndio mwanasiasa wa kwanza Duniani anaeongoza kwa kushindwa kwenye uchaguzi.. Elimu yake haijamsaidia kabisa

Wewe hujui kitu katika dunia hii, upo upo tu! Hebu msome Abdullahi Wade wa Senegal, jee aligombea mara ngapi!!!??? Na sasa ni rais wa Senegal
 
Wewe hujui kitu katika dunia hii, upo upo tu! Hebu msome Abdullahi Wade wa Senegal, jee aligombea mara ngapi!!!??? Na sasa ni rais wa Senegal

Wade hamshindi lipumba kwa kushindwa uchaguzi.. Lipumba kura zake hazijawahi kufika laki tano tanzania nzima
 
Back
Top Bottom