Picha: Prof Lipumba aizika ccm rasmi Lindi

kigu

Senior Member
Joined
May 27, 2012
Posts
183
Reaction score
74
Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi.

Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini...

Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm....

Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena, malizaneni na wezi wa kura ktk vituo vya kupigia kura na wala sio mahakamani....

Mabadiliko kwa sasa ni lazima kwa maslhi nchi yetu...

Na ccm ni janga la kitaifa.

#UKAWA NDIO MPANGO MZIMA.
 
Attachments

  • 1416417765067.jpg
    1416417765067.jpg
    41.4 KB · Views: 1,912
  • 1416417805033.jpg
    1416417805033.jpg
    33.7 KB · Views: 1,591
  • 1416417842143.jpg
    1416417842143.jpg
    89.2 KB · Views: 1,530
Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi.

Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini...

Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm....

Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena, malizaneni na wezi wa kura ktk vituo vya kupigia kura na wala sio mahakamani....

Mabadiliko kwa sasa ni lazima kwa maslhi nchi yetu...

Na ccm ni janga la kitaifa.

#UKAWA NDIO MPANGO MZIMA.

Inatia mchecheto,UKAWA wanapiga kila mahali,huku Prof,kule Dr,hapa Sosopi
 
Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi.

Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini...

Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm....

Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena, malizaneni na wezi wa kura ktk vituo vya kupigia kura na wala sio mahakamani....

Mabadiliko kwa sasa ni lazima kwa maslhi nchi yetu...

Na ccm ni janga la kitaifa.

#UKAWA NDIO MPANGO MZIMA.

asante ukawa.
 
UKAWA for life..!!!!!

Nyie kunguni za Lumumba kujeni hapa muone bendera ya Cdm kwenye mkutano wa Cuf..!! Najua hii hamuitaki hata kidogo, Propaganda zote mnazopiga hapa jukwaani wananchi wanawapuuza kama mizoga..

Kazi mnayo mwaka huu Lipumba Go go go...

BACK TANGANYIKA
 
mimi na wasiwasi na ukawa itakapokuja swala la kusimamisha mgombea mmoja,mmoja naona watashindwana tu
 
Ndio maana nimeona Nape akitoa povu kuhusu Lipumba, kumbe ameona moto wake.
 
mimi na wasiwasi na ukawa itakapokuja swala la kusimamisha mgombea mmoja,mmoja naona watashindwana tu
Hayo yameshafanyiwa kazi. Jinsi watu walivyo na kiu ya mabadiliko hawatajali nani anashinda alimradi asiwe ccm tu basi. Nimeliona live leo huku Nzasa leo nikashangaa sana.
 
Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi.

Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini...

Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm....

Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena, malizaneni na wezi wa kura ktk vituo vya kupigia kura na wala sio mahakamani....

Mabadiliko kwa sasa ni lazima kwa maslhi nchi yetu...

Na ccm ni janga la kitaifa.

#UKAWA NDIO MPANGO MZIMA.

Wapuuzi kweli CCM wanakuoneni wajinga hamna akili elimu ndogo mwisho wa siku mnakosa kura
 
I can see point kubwa aliyoitoa Professor nikumalizana na wezi wa kura kituoni hapohapo. Nimeipenda sana hii na ni nzuri
 
Mbona kwenyr news za saa 2 nimemwona Nape akibwabwanya kuwa Lipumba asiwadanganye watu wa Lindi kwa kuwa eti kule Tabora hakuna CUF? Hayo ya kweli au ndo siasa yenyewe?
 
Wapuuzi kweli CCM wanakuoneni wajinga hamna akili elimu ndogo mwisho wa siku mnakosa kura

CCM wanatudharau sana Watz mkuu. Yaani wanatuona mibuyu sana sisi. The failure of CCM ndo mwanzo wa kusitawi mwa Nchi yetu.

CCM wahuni, mafusika, wanzinzi na wezi wa mali zetu, wauaji wa tembo.....
Mnisamehe tu hasira. Yanakaria kuongelea eti flyover toka miaka ya 2000 flyover, mpaka leo hakuna hata moja. CCM na mlaaniwe wote
 
Asante wana UKAWA mliotoka kumfukuza mwizi bila siraha mwiz mwenyewe kaja na SMG. siju mta weza maana huwa mnapiga kelele tu .alafu kura hampigi .mnategemea kushinda kwa miujiza...mta uza sana ubuyu .
 
Mbona alikuwa kafunga bendeji mkononi? keshapata kifafa nini?
Alianguka Iringa wakati anacheza mpira na wananchi wa huko wakati akiwa kwenye ziara kama za huko Lindi.
 
Back
Top Bottom